Kimodang

Kimodang ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamodang kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kimodang imehesabiwa kuwa watu 15,300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimodang iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search